Kwa nini ujiunge na Tanesco saccos?

Kustawisha hali ya uchumi na maisha yao kwa kuanzisha na kumiliki TANESCO SACCOS kidemokrasia,  Ili kufikia lengo la kukidhi mahitaji yako ya kiuchumi na kijamii

Home

Karibu Tanesco Saccos

TANESCO SACCOS ni Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Wafanyakazi wa Shirika la Umeme – TANESCO ambao wamejiunga pamoja kwa hiari kwa madhumuni ya kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha yao kwa kuanzisha na kumiliki TANESCO SACCOS kidemokrasia, kuchangia mtaji na kukubali kuyakabili matatizo na kupata manufaa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za Vyama vya Ushirika. Ili kufikia lengo la kukidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii ya Wanachama.

MADHUMUNI YA CHAMA

madhumuni ya kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha yao kwa kuanzisha na kumiliki TANESCO SACCOS kidemokrasia, kuchangia mtaji na kukubali kuyakabili matatizo na kupata manufaa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za Vyama vya Ushirika.

Ili kufikia lengo la kukidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii ya Wanachama.

DIRA YA CHAMA (VISION)

Kuwa saccos ya mfano inayotoa huduma bora za ukusanyaji wa akiba na utoaji wa mikopo nafuu.

MAONO YA CHAMA (MISSION)

Kuboresha hali za uchumi na kijamii za wanachama kupitia mikopo nafuu.

ACCOUNT YAKO ONLINE

-Bonyeza Hapa Kupata taarifa za Account yako.

WARAKA  KWA WASTAAFU

- Bonyeza hapa kusoma au ku-Download

 

 

Malipo kwa MPESA

Versatile Layout

Malipo ya mikopo ya Dharula, Elimu na Papo kwa papo sasa yanalipwa kupitia huduma ya MPESA

Soma Zaidi......

Mkopo wa Mkombozi Umefutwa

Mkopo wa mkombozi umefutwa kutokana na maamuzi ya Mkutano Mkuu wa mwaka Disemba 2011

 

Katiba ya Chama

Free Joomla ebook | Joomla 3.0 Made Easy

Who's Online

We have 2 guests and no members online

Habari na Matukio

MAREKEBISHO YA TAARIFA

Chama kiko katika mchakato wa kuboresha taarifa za wanachama wake nchi nzima...Soma zaidi

-Fomu ya mwanachama

-Fomu ya MPESA

BIMA YA MIKOPO

Ndoto ya kila mwanachama ni kuishi maisha bora zaidi na kuacha familia katika hali nzuri ya kifedha na kiuchumi anapofariki au kupata ulemavu. ...soma zaidi......

Wadau

Mifano ya form zilizojazwa

Easy to startIli kurahisisha kazi ya ujazaji wa fomu mbali mbali tumeweka Mifano ya fomu zilizojazwa

unaweza kuzipata kwa kubonyeza hapa Sample Forms

 

Taarifa (Reports)

Docs / SupportKupata reports mbali mbali za

Chama Bonyeza hapa. Reports

Uwekezaji(Investments)

Native RTL SupportChama kiko katika mchakato wa kuanza kujenga

uzio(Barbed Wired Fence) katika kiwanja chake kilichopo Kibaha.

 

Copyright by Tanesco Saccos 2013. All rights reserved.